UTAMU WA USIKUπ
π
π
Jifunze kuongea na mumeo maneno matamu hasa usiku jamani,
π
mume ndio swahiba wako ndio ujue mume anataka maliwazo yako uwe na sauti nzuri kuongea na mumeo zile sauti zetu usipayukee mbembelezee kwa mahaba asahau yote yamkerao huko apitapo
π
mume mtamuu ukiongea nae kwa ufasaha ndo wanasem mwanaume kama mtoto mlee mpende mdekezee ajisikie katoka kwa mama yake kaja kwako umfundishe mazuri mabaya asiyagusee
π
ukimnyima chakula atadoea kwa watu mwisho atakua mdokozi/atadokoa michepukoπ
π
basi ishi na mwanao/ mpenzi kwa raha sio kwa ajizi
Wala ushindani mwari na ajizi nyumba ya njaa,sasa ww zubaa tuu uone km hujaibiwa mumeπ π π π π π π π
Wala ushindani mwari na ajizi nyumba ya njaa,sasa ww zubaa tuu uone km hujaibiwa mumeπ π π π π π π π