-->

MWANAMKE NDIYE KIUMBE CHENYE THAMANI KUBWA DUNIANI JAPO YEYE MWENYEWE HAIJUI THAMANI YAKE NDIYO MAANA ANAWEZA KULILIA PENZI LA MTU ASIYEMPENDAπŸ’―


Hakuna chenye thamani kushinda Mwanamke chini ya JUA  hili, Na kama kipo basi fahamu tu HAKIWEZI KULINGANISHWA NA MWANAMKEπŸ’ƒ
Ili ujue kwamba Mwanamke ndiye wa THAMANI zaidi duniani ni pamoja na yeye mwenyewe kuijua THAMANI yake halisi, Mwanamke kama hajakupa MOYO wake na wewe umempenda niamini GHARAMA YA MALI, PESA, MUDA, AKILI, PENGINE NA HATA AFYA YAKO vitaingia rehani juu ya Mwanamke huyoπŸ˜‚
Nikiri wazi:-
πŸ‘‰ MWANAMKE NDIYE BIDHAA YENYE GHARAMA KUBWA ZAIDI DUNIANI JAPO WENGI HAWAJUI KWA SABABU UNAGHARAMIA KIDOGO KIDOGOπŸ’―
Uwekezaji wa Mwanaume kwa Mwanamke wake ikiwa ANAMPENDA ni mkubwa kuliko hata maisha yake mwenyewe.
Anguko kuu kwa Wanaume ni kukutana na Mwanamke asokuwa na UPENDO WA DHATI πŸ’˜ hapo ndipo wanaume hujikuta wameharibu maisha yao, Kwani Mwanamke kama hajakupenda LAZIMA ATAKUJUTISHAπŸ’―
Lakini Mwanamke kama akijitoa kuwa wako kwa MOYO wake woote basi Mwanamke ndiye KIUMBE CHENYE GHARAMA NDOGO ZAIDI DUNIANIπŸ˜‚
Mheshimu Mwanamke kwa UDHAIFU wake, lakini usikubari Mwanamke awe dhaifu kwako kwani HUWEZI KUFURAHIA PENZI πŸ‘™ LAKE🀦‍♂️
Najua unatamani kujua kwanini usifurahi ikiwa utakubari udhaifu wa Mwanamke?
πŸ‘‰ ILI MWANAMKE AKUPE FURAHA NA AMANI NI LAZIMA AWE HURU KWAKOπŸ’―
Wanaume wengi tunakandamiza HISIA za wanawake zetu kwa kuamini udhaifu wao, Ukimpenda Mwanamke unakuwa katika kumpa UHURU na hapo atajiaachia kwako na kukupa kile kitakupa KUTIMIZA HAJA YA MOYO WAKOπŸ˜‚
Wanaume wengi wanaishi na Wanawake ila wanawake hao ukiwauliza juu ya STAREHE YA NDOA watakwambia hawajui, hawajui kwa sababu hakuna ambalo limeleta TOFAUTI NA MAISHA YA KABLA YA NDOAπŸ“
Kabla hajaolewa hakujua starehe ya PENZI akajipa hakika atakapokuwepo Kwenye NDOA atapata kinachowavutia wengi, Ndo Maana wanawake wengi hawaishi kutanga tanga kujaribisha RAHA YA PENZI inafananajeπŸ˜‚
Kila Mwanaume aijue THAMANI YA MWANAMKE ndipo kila Mwanamke ataijua THAMANI yake, Maana Mwanamke hujitoa kwa MWANAUME kama chombo kwa sababu wanaume wenyewe wanamfanya Mwanamke kama chombo cha haja zao😭😭😭
Ndo maana Mwanaume ajuaye THAMANI ya Mwanamke humfanya Mwanamke ajione wa THAMANI MAISHANI MWA MWANAUMEπŸ’―
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU