-->

MWANAMKE !! HAYA NDIO MAMBO YA MSINGI UNAYOPASWA KUMFANYIA MUMEO ILI NDOA YENU ZIDI KUWA NA FURAHA NA AMANI SIKU ZOTE.

✍️Ndoa nyingi zimekosa uaminifu na hivyo kuna ongezeko la kupeana Talaka, ugomvi katika Ndoa na uovu mwingi katika ndoa
Ili NDOA iwe shwari, Wanandoa wote wawili wanahitaji kujua mambo muhimu.
✍️Siri ya mambo kadhaa , Siri hii ipo Kwenye Waefeso katika Bibilia "#Mke_KUMSTAHI_Mume_wake ambaye yeye Mke hufanya ili kumfanya Mumewe kumpenda na kuwa mwaminifu kwake.
✍️Japo Wanawake wengi wanaweza kuyapinga mambo fulani yeye Mke anaye fanya agizo hili katika Bibilia la kumstahi Mume wake hufanya, ameyafanya na yameinusuru ndoa yake❗
Hapa kuna mambo muhimu ya kufanya kuhakikisha Mumeo ni mwaminifu kwako kulingana na Waefeso 5👈 #KUMSTAHI_MUME huyu;
❤️. Usibishane naye
☑️Mke huyu anasema kuwa hajawahi bishana na Mumewe wanapokosa kuelewana. Humwendea tu kwa upole na suluhu yapatikana.
❤️Kukimya anapokasirika
☑️Nyamaza tu wakati amekasirika ili kutozidisha ugomvi. Anasema kuwa hii ndiyo mbinu nzuri zaidi ya kusuluhisha wakati Mumewe amekasirika zaidi. Humwongelesha baadaye akipoa.
❤️. Kuongea mazuri kumhusu kwa marafiki
☑️Unapokutana na marafiki zake, waonyeshe kuwa Mume wako anakufaa zaidi.
Kila Mwanaume hupena sifa. Usiwahi ongea vibaya kumhusu kwa marafiki zake.
❤️Penda Wazazi wake.
☑️Mama Mkwe kwa kiwango fulani anaweza kukufanya ubaki kwenye ndoa yako au kuiacha.
Penda tu Mama wa Mumeo na atakupenda zaidi.❤️👈🙏
❤️. Usimruhusu kijakazi wa kike kuwa karibu naye wakati wewe upo❗
☑️Mwanaume ni tumbo. Usikubali kiajakazi ampe chakula wakati wewe upo. Hatari sana❗
❤️Msifu kwa watoto wake
☑️Ni vizuri watoto wamjue kama Baba mzuri anayewapenda watoto wake.
Si vizuri kuwafanya watoto wako wamchukie Baba yao. Ataanza kukuchukia pia.
❤️Mpigie au umtumie ujumbe kuwa unammiss
☑️Mwambie maneno matamu kuwa unampenda na umemkumbuka sana. Jambo hili humfurahisha zaidi.
❤️Mtayarishie chakula kitamu zaidi
☑️Chakula kitamu humfurahisha Mume wako. Mtayarishie chakula kitamu sanasana wakati hatarajii. Suprise 😄👈
❤️Kuomba pamoja
☑️Hata Mwanaume awe mpotovi kiasi gani, hupenda kuwa na Mke mpenda maombi.
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏 NA MALAZI YAWE SAFI 🙏 MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA ADHABU (WAEBRANIA 13: 4)
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU