-->

Mpenzi wa kweli ni yule anayekubali mapungufu yako na kukusaidia kuwa mkamilifu, kisha anakubali na kusahau mahusiano yako ya nyuma.


Mpenzi bora, anakupa support ya vitendo kwa maneno kwa wakati uliopo na kukupa faraja ya kutimiza ndoto zako na malengo yako wakati ujao na kuthamini karama yako kwa maneno matamu na yenye rutuba.
Mwanaume bora siku zote huogopa kumpoteza mwanamke bora daima. Bila kusahau mwanaume bora huwa hapendi wanawake wengi bali humpenda mwanamke wake mmoja kwa njia nyingi.
Penzi bora ni lile lenye kutofautiana na sio penzi lenye usiri unaotunga mimba ya utengenao siku siri zigunduliwapo. Love is like war… Easy to start, difficult to finish and impossible to forget.
Ili kujifunza zaidi namna ya kutunza na kuimarisha Ndoa, Uchumba/Mahusiano yako, ungana nasi katika group letu la whatsApp "ITUNZE NDOA YAKO" kwa kunitumia ujumbe wako kwenye whatsApp inbox yangu kwa nambari 0717 442 212.
Au bonyeza link hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye whatsApp inbox yangu
👇👇👇
Share
Like Page
Malaria= Net
Hiv&Aids= ???
Image may contain: 2 people, people standing, text that says "KLALA PHOTOGRAPHY"
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU