Kuna kitu ambacho huwa kinaleta shida kwa mabinti linapokuja swala la mahusiano ingawa baadhi yao hawajui au wengine wameshasikia Ila wanapuuzia.... Nataka ujue kwamba ipo tofauti kubwa Kati ya UZURI, KUPENDWA na KUENDELEA KUPENDWA. Kama hujaweza kuelewa ngoja nifafanue kwa kifupi mno;
UZURI Ni muonekano ulionao ambao sio lazima kila mwanaume auone.. ndio maana Kuna wengine wanaweza kukuona mzuri na wakati wengine wakakuona wa kawaida ama mbaya kabisa.... UZURI wa mtu unategemea na kile anavhopenda yule anayetazama..🤔🤔🤔 KUPENDWA Ni Jambo tofauti na UZURI wako.. hapa ndioo wanawake wanapojichanganyaga... Wengi wanaamini kwamba wanaume tunawapenda kwasababu ya UZURI kumbe huwa tunawatamani kwasababu ya UZURI Ila swala la mwanaume kumpenda mwanamke linatokana na kutambua POTENTIAL ulizonazo (Yale mazuri na yenye faida kwake). Ndio maana Leo Ni rahisi kukuta wanawake wazuri wanatumiwa na kuachwa Ila wanaoolewa Ni wanawake wabaya.. ukiwa mzuri na ukakosa kile ambacho Ni potential ya mwanaume wako Basi utabaki kuwa kiburudisho tu
KUENDELEA KUPENDWA hii Sasa inahitaji jitihada Binafsi maana binadamu ana tabia ya KUKINAI kitu kimoja... Na hapa ndioo unatakiwa kuwa na MABADILIKO ya Mara kwa Mara ili akuone mpya maana AKIKUZOEA mwisho anaweza akakuacha au akaendelea kuwa na wewe tu kwasababu Hana Cha kufanya Ila sio kwasababu ANAKUPENDA Tena kama mwanzo.... Mapenzi hayahitaji Sana UZURI ulionao, yanahitaji kile ULICHOBEBA kwa ajili ya mwenzio na (potential) na usisahau kwamba pamoja na kuwa umebeba kitu Bora kwa ajili ya mwenzio,ukikosa SANAA ya kukiwasilisha anaweza asikione na akakuchukulia poa.
. NA BAHATI MBAYA Wengi wenu mnapumbazwa na kua wazuri tu na kujisahau kua pamoja na uzuri ulio nao wa nje mwanaume anataka uwe mzuri zaidi kitandani, sasa wengi mnashinda kwenye kioo kujipendezesha zaidi wakati kitandani hujui lolote gogo si gogo, hata hujui kumteka mwanaume kwenye utamu, unadhani atatulia kisa uzuri wako,, na unazidi kua kero kwa kuomba pesa kwa kudhani uzuri wako utakubeba no mwanaume atapata wivu kama utakua fundi kitandani hatapenda kabisa utamu huo kwenda kumpata mwingine, jifunzeni pia ujuzi kitandani,