-->

JE MWENYE UPENDO WA DHATI ANAWEZA KUSALITI PENZI ALIPENDALOπŸ€”




Kwanza ifahamike wazi UPENDO NA MAPENZI ni mambo ambayo hayana mlengo mmojaπŸ’―
Ukitaka kujua hilo jiulize pamoja nami;
πŸ‘‰πŸΌ KWANINI MTU ANASALITI NA HUKU ANAMPENDA ALIYE MSALITI?
UPENDO ni matokeo ya uhitaji wa NAFSI bila kuangalia sababu wala kujiuliza KWANINI UMPENDE😘
MAPENZI ni matokeo ya HISIA bila maswali ya ni nani na yupi ndiye analeta hali hiyoπŸŒπŸ‘
Kwa ufafanuzi huo utakubaliana nami kwamba;
πŸ‘‰ MTU ANAWEZA KUKUPENDA KABISA LAKINI HANA HISIA NAWE NA AKAKUSALITI JAPO MOYONI MWAKE UMEJAA NA AKAAMUA KWENDA KWA MWINGINE KWA MAPENZI MOTO MOTO MAANA HISIA ZAKE ZIMEMPELEKEA KUFANYA HIVYOπŸ†πŸ‘„
Usihadaike na Mtu kukupenda eti asiweze kukusaliti⛔️
Maana UPENDO WAKE WA DHATI UPO KWAKO LAKINI MAPENZI YAKO HAYAMPI HISIA ndo maana mwenye hisia nae anakuibia PENZI lakoπŸ˜‚πŸ˜‚
Vivyo hivyo usijidai wewe mjuzi wa MAPENZI kwamba UKO ZAIDI YA MWENYE MKE/MUME kwani wewe umebebwa na HISIA ZAKE KWAKO mwenye DHAMANA YA UPENDO WAKE YUPOπŸ“
Ili thamani ya Mtu kumaanisha UPENDO WA DHATI β€οΈ kwako ni pale ANAPOKULINDAπŸ’―
Ukilindwa HUTASALITIWA na mwenza wako akikulinda ATAKUPA HESHIMA ndipo utashuhidia UAMINIFU.
Ukipendwa halafu na Hisia zikaangukia kwako niamini WEWE NI ALMASI πŸ’Ž
Mara nyingi ni ngumu mnoooo KUPENDWA NA HISIA ZA ZIKAWA KWAKO ndo maana halisi ya USALITI ambao umekuwa kama wimbo miongoni mwa MAHUSIANO NA NDOA nyingi, Fumbo la UPENDO hufumbiwa MDHAIFU lakini pia fumbo la MAPENZI hufumbiwa MWENYE TAMAAπŸ’‰
Kwa taarifa yako:-
πŸ‘‰ WANAOSALITI MAHUSIANO NDOA ZAO WANAWAPENDA WENZA WAO KULIKO WEWE SEMA WEWE UNASABABISHA KUKATA KIU YA MTUπŸ˜‚
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU