-->

JE MWANAMKE KULAZIMISHA UHURU KWENYE UHUSIANO/NDOA YAKE NI SABABU YA KUPATA AKITAKACHOπŸ€”


Kumezuka na kiji-tabia tena kinashika kasi kwamba;-
πŸ‘‰πŸΌ KILA MWANAMKE WA SASA ANAHITAJI KUWA NA MWANAUME ATAKAYEFUATA ATAKAVYOπŸ’―
Ki tamaduni zetu WA AFRICA lakini hata katika vitabu vya MUNGU ni kosa kubwa Mwanamke kumtawala MwanaumeπŸ“
Juhudi kubwa inayotengenezwa na Mwanamke ni kuwa na hakika ya UCHUMI WAKE MWENYEWE wala hilo sina tatizo nalo, Tatizo langu ni dogo sana MWANAMKE HATA AFANIKIWE KWA KIWANGO GANI HAPASHWI KUWA JUU YA MWANAUME
Ili iwe rahisi kwa Mwanamke kumtawala Mwanaume anampa majukumu yatakayomfanya kupata mia mia na wanaume wa sasa walemavu wa akili wala hawaoni tatizo katika hilo, na hapo ndipo Mwanamke anakuwa huru kufanya atakayo na wengine wanakwenda mbali zaidi wanatengana mpaka vyumba japo wapo nyumba moja ili kuilinda status katika JAMIII huku ndani kukiwaka motoπŸ’‰
Mwanamke kumtawala Mwanaume kunaanzia kwenye kulazimisha AYATAKAYO YEYE NDIYO YAWE BILA MARIDHIANO na baada ya hilo ni Mwanamke kupanga Safari na mitoko ya uongo ili kutafuta UHURU binafsi.
Wanawake walioko kwenye NDOA ndio wanao ongoza kutafuta UHURU kwa sababu mara nyingi huingia kwenye ndoa bila kutarajia iwe kwa MAHUSIANO FAKE yalomvutia sana na baadaye kuona alidanganyika ama zile ndoa zetu za kuna mtoto wa fulani anafaa kuwa mumeo mwisho wa siku HAWEZI KUKIDHI SHAUKU YA MOYOπŸ’―
Hapo ndipo huanzisha vita baridi ili kupata UHURU wa kutafuta atakayekuwa RELIEF wa changamoto za NDOA YAKEπŸ˜‚πŸ˜‚
Kama kuna ujinga Mwanamke huufanya DUNIANI ni kubakia kwenye URAIBU WA NDOA kwamba Mume abakie kuilinda heshima katika jamii na haja ya MOYO akaitafute nje ya NDOA yakeπŸ—£
Huwezi kupata UPONYAJI KWENYE MOYO WAKO IKIWA UNAISHI NA MTU AMBAYE HAKUWA CHAGUO LAKO HALAFU WAKATI HUO HUO UWE NA MWANAUME MWINGINE AWEZAYE KUKUPA FARAJA ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO UNAPITIAπŸ’―
Bali njia rahisi ni Mtu mwenyewe kuangalia yafuatayo;-
πŸ‘‰πŸΌULITAKA UWE WAPI.
πŸ‘‰πŸΌUPO WAPI KWA SASA.
πŸ‘‰πŸΌUNATAKA UWE NANI.
Hayo ndiyo mambo ambayo wengi hawawezi kuyapa kipaumbele, Maamuzi magumu siku zote huleta majibu ya matatizo na hapo ndipo Mtu unaweza kupitia magumu baada ya maamuzi magumu lakini ni kwa kitambo yakiisha hayo UTAKUWA UMETENGENEZA NJIA YA KILE UKIPENDACHOπŸ’ͺ🏼
Wengi huogopa kuanza na wakavumilia matatizo ili tu jamii isiwacheke, huku wakotafuta watu wa kuwapa FARAJA kitu ambacho ni HATARI SANAπŸ“
Maji ukiyavulia nguo πŸ‘™πŸ‘—πŸ‘  yaoge πŸŠπŸ»‍♀ MamaπŸ˜‚
Iwe ni BWANA MPO KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA HUYO NDIYE WAKO na ukienda kwa Mwingine huo ni MUWASHOπŸ˜‚
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU