-->

CHOMBEZO TAMU SANA LA MAHABA 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞 * TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI*


_ KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHARTI SHUKA LIONGEE KITANDANI BIBI WEE ðŸ‘Œ....,SIO WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA......._
*HEBU LEO TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KITANDANI KWANI KUNA ZENYE MAANA NA NYINGINE NI SHUKA TU KAMA PAMBO HAZINA MAANA YOYOTE*
* TUANZE NA SHUKA NYEUPE AU LA CREAM*
_Shuka hili maana yake ni kwamba mume wangu leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii huw siku ya shughuli uwanjani.
* SHUKA JEKUNDU*
Mume wangu niko tayari kukupa mambo lakini Bahari chafu huwezi kuvua samaki tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......wekundu wa msimbazi wako uwanjani kwa sasa......shuka hili tumia siku za hatari.
* SHUKA JEUSI AU LA RANGI YA UDONGO*
_Mume wangu leo sijikii kabisa........tulale tu Mzungu wa nne maana nimechoka sana leo tusifanye kabisa
* SHUKA LA KIJANI,BLUE BAHAR AU GREEN APPLE AU BLUE*
_Mume wangu niko radhi najisikia hamu leo tujiachie baby tena niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito hivyo tuitumie vyema hii siku yetu.....tena baby leo mechi ieleweke kwani tukicheza kwenye sita kwa sita vizuri leo nitapata ujauzito.
* SHUKA LA PINK AU ORANGE* .
Mume wangu sijisikiii,naumwa leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi tukumbatiane tu na unipe maneno matamu ya mahaba ili unifariji kwa hali niliyo nayo .
. * SHUKA LA NJANO*
_Mume wangu umenikosea........Nina hasira Leo siko sawa........nitake radhi mpenzi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu.
* SHUKA LA ZAMBARAU*
_Mume wangu naomba unisamehe najuta kwa kosa nlilokufanyia. Tena huku ukimwambia👉 Sorry nakupa pokea ewe wangu wa amani .
Yote nilokutendea ingawa ni makosani .
Leo nakuangukia nakuomba samahani
Weka hili kwa siku unayotaka kuomba msamaha.
* SHUKA MCHANGANYIKO*
_Rangi nyingi yaani rangi zaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja._
_Mume wangu leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia anti zangu sijui tumeelewana....._
_Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa._
* KUMBUKA*
_Si shuka zote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwa wadada waliofundwa,ni vema kufanya mambo yao kuwa tofauti na wasungo,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa lile shuka linavyosema.
💞💞💞💟💟💟💟💟💟💟💟💟💞💞💞
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU