-->

[WANAWAKE TU] 💋AMSHO LA MUME LA MAHABA💋*

UTAMU KITANDANI APP
*""";;;:::,,,,,,"""""""":::::;;;;,,
💕 Muamshee mumeo kimahabaaa yoteee bibiiii eee hydr lakooo
💕Mkande mabega, miguu, mikono mpaka aamke. Akishaamka anaweza kukwambia uendelee kumkanda. Mpe busu umwambie unampenda lakini anafaa kuanza kujitayarisha.
💕Mpandie kwa juu ukiwa ukiwa km ulivyozaliwa Uwe unamsumbua sumbua kwa kumbusu au kumnong'oneza maneno matamu sikioni.
*_🛌NAMNA YA KUMUAMSHA MUME ANAPOLALA🛌_*
Chukua mkono wa mumeo uueke kwenye sehemu ya mwili wako anayoipenda kama kifua, kalio au sehemu ya siri alafu ufanye kama anakupapasa vile na huku unamwambia, kwa mfano, "My love unajua ukiendelea kulala utakosa utamu wa waridi uliolipia mahari? Amka mume wangu" hapo alale nani?
: Busu pia linafaa. Mpige mabusu kuanzia utosini hadi miguuni ukilenga zile sehemu zenye hisia zaidi. Utaona kaamka na bwana Abdallah nae kasimama wima.
💕Unaweza kuchagua sehemu moja, kwa mfano shingo, ukampiga busu mpaka umtoe lovebite. Lazima ataamka kabla hujamaliza kumbusu
💕 Kama mumeo ni mwepesi wa kuamka unaweza tu kumuita kwa sauti ya chini. Kwa mfano "Habibi wangu sipendi kukusumbua lakini amka muda wa kwenda kazini umefika. Amka mume wangu natamani kuona unavyoniangalia".
💕Sio unamwambia "We babake Ali hebu amka jamani unataka jua likupige la meno ndio ujue muda wa kazi umefika".
💕Jamani haifai! Mhurumie na umpetipeti mumeo kama unavyopeti mtoto mchanga. Kama7 mumeo ana uelewa mzuri wa ndoa utaona na yeye anakuamsha kwa mahaba kama unavyomuamsha......."""''''';,,,,,,,,,
HAYO NDO MAPENZI HAYO NDO MAHABA. HAYO NDO MATHAWABU. NDUGUZANGU.
KAMA HUJUWI ANZA LEO KUSOMA KESHO UMWAMSHE MUMEO HABIBTY WANGU.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU