-->

*πŸ‡UMUHIMU WA VITAMBAA KWA WANANDOAπŸ‡*





*------•<°○●πŸ•Έ●○°>•------*
πŸ‡Mwanamke upo bibi shurti uwe na zana zako maalum kwaajili ya kumsafisha mumeo manapomaliza kwichkwich
πŸ‡Sio mmemaliza kufanya tendo unafuta kwenye shuka aihusu bibi, Kua na vitambaa zaidi ya kimoja bibie
πŸ‡Unapokua tayar kulala andaa vitambaa vyako vya kutosha, Viwe visafi na vyenye kunukia uturi ili mkianza mambo zana ziwe ziko pembeni
πŸ‡Baada ya kumaliza mambo yenu chukua kitambaa chako mfute mumeo uku umelegeza sauti mtt na mabusu motomoto ukimwambia mumeo ""ahsante mume wangu
πŸ‡Hakika nimenjoy"na maneno mengi tu matam na yenye kupendeza
Bwana akitaka mechi iendelee weka kile pemben sogeza kingine mana kile kitakua kimeshatumika
πŸ‡Asubui fua vizur vitambaa vyako vilivyotumika anika vizur vikauke kama una pasi vipige pasi hifadhi mahali pazur kama huna pia unaweza ukahifadh vizur
πŸ‡Sio kitambaa cha jikoni ndio unachukua usiku unamfutia mumeo haifai au mashuka mnafutia haifai Bibi kua na vitambaa vyako hata Viwe mia navyo vina umuhimu wake
*πŸ‡WADADA MPOOπŸ‡*
YANGU NI HAYO TU
*NAWATAKIA UTEKELEZAJI MWEMA*
*-------•<°○●πŸ•Έ●○°>•-------*
*Ukiyapenda yachukue kama yalivyo*
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU