-->

๐Ÿ’žJINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI๐Ÿ’ž*

UTAMU KITANDANI APP
๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ๐Ÿ”บ
_โœ๐ŸพUnajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_
_โœ๐ŸพBe the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa .*_
_โœ๐ŸพRafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*_
_โœ๐ŸพMapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*_
_โœ๐ŸพLearn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*_
_โœ๐Ÿพswala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC sex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_
_*Namalizia kwa hili*_
_โœ๐ŸพHakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_
```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo```
_ยฉbrayton official love _
๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š๐Ÿ”š
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright ยฉ 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU