JE ❓ ULISHAWAHI KUKUTANA NAVYO. ๐
1๐KUJAMBA : Kila mtu huwa anajamba, ila kujamba wakati wa tend0 la NDOA ni kitu tofauti , ikitokea Mume au Mke wako amejamba, potezea harufu, kisha endelea kufurahia tend0๐๐ Ukiona huwezi kupotezea cheka tu,๐ usikasirike sana maana ajali kazini.๐๐๐๐
2๐KUWA MKAVU { Wanawake}
Mambo yanaweza kwenda ndivyo sivyo, ukiwa tayari kwa ajili ya Tend0 la Ndoa, harafu sehemu zako za siri zikiwa kavu sana. Hii ni ishara kuwa Mume wako inabidi akuandae vizuri ili usiwe mkavu. Usijishangae ni kawaida.
3๐KUVUJA DAMU PUANI.
Mtu anaweza kuzimia akiwa katikati ya tend0 la ndoa, lakini kubwa zaidi na kutokwa na damu puani, ikitokea, usishangae sana, tulia tu hadi damu ikatike, kisha endelea kuponda raha.๐
4๐KUKUJOA
Katikati ya tend0 la ndoa , uhondo ukizidi unashikwa na haja ya kukojoa ghafla, hapa una maamuzi haya, kuendelea na tend0 ukijikaza hadi mmaalize, au uombe po ๐ili ukajisaidie kwanza, ama ukojoe hapo hapo.
5๐KUTAPIKA.
Kuna vitu huwa tunafanya ili kuwaridhisha wenza wetu, kama kunyonya ana kuramba nyeti, na ukizidisha kama huwezi jizuia unaweza kujikuta unatapika๐๐๐. Ushauri tu, usijaribu kufanya kila kitu kuzidi uwezo wako kwa raha ikizidi ni karaha.๐๐
6๐KUTUPWA KANDO.
Hii ni moja wapo ya njia ama ishara kuwa tend0 limefikia ukomo, haswa wewe kama ndio unamtupa mwenzio kwa kumtoa kwenye mwili wako, mfano akiwa juu yako.
๐ตLAKINI UASHERATI USITAJWE KWENU KAMWE WALA UCHAFU WOWOTE WA KUTAMANI KAMA IWASITAHILIVYO WATAKATIFU WAEFESO 5:3
๐ดNDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE ๐ NA MALAZI YAWE SAFI ๐ MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA ADHABU.