-->

UNAJUA WANAUME HAMJUI RAHA YA KUOA MWANAMKE ANAYEKUTEGEMEA!

UTAMUZAIDIAPP
Najua wapo watakaobeza ujumbe huu kwa kuangalia UGUMU wa MAISHA lakini ninaamini ikiwa MKE au MME ametokana na MUNGU kamwe huwezi KUDUMAA bali UTASITAWI SANA👏
Hata vitabu vimeandika MKE NI KWA FAHARI YA MME. Mwanamke ameumbwa kuwa chini ya Mwanaume ili amtii na hapo atapata UPENDO ULIO ANDALIWA KWA MUME WAKE.
Hii siri nawapa na muijue;
Ndoa nyingi zinazo tawaliwa na vita ni zile ama Mwanamke kumshawishi Mwanaume amuoe au ni zile Mwanaume anaoa kwa sababu zake, Lakini ndoa zenye FURAHA NA AMANI ni zile Mwanaume kwa pesa yake anachumbia, anajitolea mahali, anapambana na gharama za HARUSI mwanangu hapo hawezi kumdharau MKE na atamlinda kwakuwa ni ZAO LA KIPATO CHAKE.
Lakini ikiwa ili iwe NDO Mme na Mke wamejichanga ili kuifahamisha jamiii na ndugu kwamba WAO NI MKE NA MME niamini mbele giza, Kwanza Mwanamke kutoa hela zake ili kukamilisha kuolewa kwake ni MKOSI japo unakimbia MKOSI WA KUCHELEWA kama sio KUOLEWA😅😅
Kuna kundi la wanawake wao wanaingia kichwa kichwa kwa Mwanaume hata kama hana kitu anajitwika mzigo akiamini kwamba MUME akiishakuwa ametulia atarejesha HESHIMA YAKE YA KUMUOA niamini UMEULA WA CHUYA
Kwanza hazitarudi kwa sababu STAREHE MNAPATA WOTE lakini pia TEGEMEA MASIMANGO ambayo yatakupa kuijutia SIKU ULIPOKUBARI KUOLEWA NAE. Mwanaume hapimwi kwa UTANASHATI wake bali anaangaliwa kwa JUHUDI ZAKE💪
Ili kuifurahia NDOA YAKO nikusihi Ewe MUME usimamie maana ya wewe kumpata MKE hiyo itakufanya KUHESHIMIKA SIKU ZOTE na Ewe MKE usikubari kuhemkwa mwili hata ukaingilia jukumu la Mme ukamtolea ama kumsababisha akuoe UTAPATA TAABU SANA😅😅
Bora umpe pesa anunue gari, nyumba, mashamba kuliko laki moja ya UCHUMBA na pesa kwa ajili ya MAHARI Mwanangu UMEJILAANI MWENYEWE
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU