-->

WANAUME AMBAO HAMJAOA KUWENI MAKINI SANA NA HILI!


Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika Mademu Gheto wanakuja wanalala halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa utaenda kazini,wao wanajifanya wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu mi niache bado nna usingizi niachie funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..
DUNIA IMEBADILIKA...
Mchawi
sio lazima avae gagulo,mademu wa siku hizi wanakupekecha hadi unakaa sawa,wanachukua nguo yako wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaichezea Alingo na Azonto kwa Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi nguo za kwenda kazini kesho na gheto limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu ile nguo,na vile Mungu kwako ni part time job kama Customer Care operator UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula au kuwekewa kipande cha Nyama kwenye kipapuchi,Watch out...Ni Sistaduu na ana sura ya upole lakini Trust No One...wanaloga usitake Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6 anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati wiki6 zilizopita uliniambia utaoa maybe 2021 najua tayari umenaswa...
Simple tu mwambie..
Ufunguo wa Gheto sikupi,amka tutoke wote,kama ni usingizi kwenu!
Hi - Warembo WA Kilimanjaro | Facebook
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU