-->

UTAMU WA PENZI LA MWANZO USIKUZUZE UKASAHAU UTU WAKO!

Image may contain: 1 person, sitting

WANAVYOFANYAGAπŸ‘‡:

🌺 Hakuna Asiyejua Kwamba Penzi La Mwanzo Uwa Tamu sana Jamani Acha Tu Asikwambie Mtu Kitu...Unakuta Zile SMS za Baby Nimekumisi au Baby I πŸ’• Love You Zinatiririka Kama Mvua Acha Tu AiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

🌺 Huu Ndio Wakati Ambao Mpenzi Wako Uwa Anayafanya Majukumu Yake Kwako Kama Mpenzi Wake On time Kwa zaidi ya 80%, Hapa Ukituma SMS inajibiwa ChapuπŸ˜…πŸ˜…Ukisema Baby Nataka Kukuona yani Haichukui Round Mtu Huyu Hapa, baby Nitumie picha Chapuu imekuja....😁😁😁

SASA UTAMU WA PENZI LA MWANZONI USIKUZUZUE SANAπŸ‘‡πŸ‘‡:

🌺 Ukafikia Hatua Baby Anakuomba Picha Ya Kitumbua/Uch-i na wewe Unatuma au Picha ya ndizi/Uc-hi Unatuma tu...

🌺 Vipi Ushawahi Kujiuliza Itakuwaje Siku Mkiachana na tayari Umeshamtumia picha zako ukiwa uc-hi kama zote hivi au Ndio Nikuache KwanzaπŸ˜…πŸ˜…??

🌺 Umepewa Ubongo na ndani Yake Ukapuliziwa Akili...Sasa Fikiri Kabla ya kutenda Kwamba HizoπŸ‘† Picha Za mtindo huo πŸ‘†Unamtumia huyo unayemuita Mpenzi Wako ili iweje ?

🌺 Au kuna mtu alikueleza kwamba Ukifanya hivyo ndio Utapendwa?? Upendo Upo Tu kama Upo kweli Hata usimtumia hizo takataka zako πŸ˜πŸ˜

🌺 Ndio nyinyi ambao kesho Mkiachana unaanza kuwa mtumwa wa Mawazo na Kuanza Kung'ang'ania Mapenzi Mpaka Jamii inajiuliza Hivi Yule Analazimishaje Mapenzi Wakati Mtu Hampendi?

🌺 Kumbe Siri Unayo Mwenyewe ni Tule Tupicha Twako ndio Tunakutesa kenge weweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ebu Usitusumbue Sisi Nenda kafie Mbali sana hukoπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ˜‚πŸ˜‚

MPENZI WAKO AKIKUOMBA PICHA YA KITUMBUA MTUMIE PICHA YA KITUMBUA KWELI...NA AKITAKA UMTUMIE YA UC-HI MWAMBIE ATAKUONA SIKU MKIWA WOTEπŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Wewe Akuombe Picha kama hizπŸ‘†πŸ‘†Mtumie Alafu Nikubaini Kenge Weeee...Ndio Utajua Ni Muda Gani Bodaboda Inatumika Kama AMBULANCE...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU