-->

๐ŸŒนUMUHIMU WA KUVAA SHANGA NA KAZI ZAKE KATIKA SUALA ZIMA LA MAPENZI๐Ÿ’

November 2018 – Page 11 – My Blog

๐ŸŒบKUFUNDANA RAHA ๐Ÿ‘— Shosti asikwambie mtu kwa wanaume wengi wa Kiafrika wanapenda sana mwanamke kuwa na chachandu kwani wanakwambia zinawapa raha na utulivu wanapokuwa faragha. ๐ŸŒธChachandu zinapaswa kuvaliwa wapi?, ⏩๐ŸŒธshosti si kila sehemu unavaa chachandu angalia na sehemu ya kuzivaa kwa sababu ukizivaa eneo la kazi utatafsiriwa vibaya, zile zinafaa kuvaliwa chumbani ukiwa na mpenzi wako tu. ⏩Unajua zile zinatungwa na uzi huenda ukazivaa na ikatokea zikakatika hivi utajisikiaje ukiwa sokoni halafu zikakatika lazima utaona aibu na wengine hudiriki kuziacha hapohapo. Cha kufanya shosti yangu vaa kwa raha zako wakati unahisi mumeo anataka kurudi nyumbani, ukishaoga na umeshajiandaa kwa kumpokea mume unaweza kuvaa chachandu kwani zitachangia kumuweka tayari mumeo. ๐ŸŒนUMUHIMU WA KUVAA SHANGA NA KAZI ZAKE KATIKA SUALA ZIMA LA MAPENZI๐Ÿ’๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜ ⏩Kiuno cha mwanamke๐Ÿ’๐Ÿ‘ผ๐Ÿ‘— hupendeza zaidi na kuvutia kama kikipambwa kwa kukivalisha shanga,๐Ÿ‘™๐Ÿ‘™๐Ÿ‘™Nami nakupa maana na kazi ya shanga hizo

 1: UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO๐Ÿ‘™๐Ÿ‘™ ๐ŸŒปKuna baadhi ya wanawake ๐Ÿ‘—siku hizi wanapenda kuvaa shanga ๐Ÿ‘™kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza ๐Ÿ‘™๐Ÿ‘™na kuongezeka mvuto,Sio tu kwa wanaume bali hata kwa wanawake pia,ukivaa shanga kiuno chako kitapendeza๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ Kama unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia 

2. HUONGEZA HAMU ๐Ÿ˜NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPE-ANA RAHA๐Ÿ˜๐Ÿ’♋ ๐ŸŒปbaadhi ya wanawake๐Ÿ‘— tunapocheza ngoma,๐Ÿ‘ฏkiunoni huvaa kitu kinachoitwa kibwebwe ambacho hutufanya tufeel wepesi wa kukata miuno๐Ÿ’ƒvivyo hivyo tunatakiwakuvaa shanga ya kufanya iwe rahisi kwetu kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒNa pia wanasema sio tu zinasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘ถ akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ 

3. UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HA-MU YA KUPATA RA-HA MUMEO/MPENZI WAKO๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ๐ŸŒปAsilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya basi,๐Ÿšƒazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda ➡.Ki ukweli ukiziona shanga zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli, ⏩Kwahiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,๐Ÿ‘™na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana raha na utamu,๐Ÿ’‹๐Ÿ˜˜๐Ÿ’basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa peke yako kwa ajili ya kumsuprise mpenzi wako.๐Ÿ’❤❤ Utajua kama anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa bize kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana raha.❤๐Ÿ˜๐Ÿ’๐Ÿ˜˜ 

4. UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒUPOOO๐Ÿ’ƒ ๐ŸŒปKuna baadhi ya wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia๐Ÿ’๐Ÿ’ ⏩Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama mwanaume husika atakuwa anaelewa maana ya hizo rangi za shanga.๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ

 5. UNAWEZA UKAZIVAA ILI UJIONGEZEE RAHA WEWE MWENYEWE WAKATI WA KUPEANA RAHA Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa,lazima mwanamke apate raha.Ukiwa unapewa raha na mwanamke aliyevaa shanga,Wakati wa kupashana joto,usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,Chezea shanga kwa kuzipapasa kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu,au vyovyote unavyoweza.ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya,na atapata raha na utamu wa kipekee sana.Utaenjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho. Nyoneza kwa wale wasiopenda shanga KAMA UKIONA MPENZIO HAFURAHII SHANGA,UNAWEZA KUVAA CHENI,IWE YA GOLD AU SILVER...sababu ni kuwa ni raha sana kukipamba kiuno๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ‘ฏ๐Ÿ˜œili baby dady afurahie
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU