-->

UKIWA NA SIFA HIZI BASI WEWE NI LIMBUKENI WA MAPENZI

 Ben Pol atambulishwa ukweni | Ishi Kistaa


=>Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
 => Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu. 
=> Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa. 
>Kutafuta mke mwema mskitin au kanisani wakati we unaenda kanisani au mskitin wakati iddi na wakat wa Christmas tu. 
=>Kusema wanawake/wanaume wote wapo sawa.
 =>Kuendelea kuchagua wanaume/wanawake wakati unajua waoaji siku hizi wachache.
 =>Kuishi na mpenzi wako kabla ya ndoa, unamfulia, unampikia na unampa penzi wakati unajua hujui kwao, ukiachwa unatafuta ushauri mitandaoni.
 =>Kusema umeokoka au umesilim lakini unazini na mchumba kama kawaida kwa kisingizio kwamba soon mtakuwa mke na mume! 
=>Kuogopa kuongozana na msichana au mvulana eti mtaingia majaribuni, unajua kutamani tu ni uzinzi pia? =>Kufikiri kwamba utampata mtu mwenye sifa mia nane unazozitaka wakati wewe huna sifa hata moja ya kuitwa mke/mume labda umuumbe mwenyewe! 
=>Kujifanya Nkurunzinza eti unapendwa wakati moyoni unajua wazi mtu kakuchoka, na amekwambia kabisa anatafuta mtu mwingine!
 =>Kumhonga mwanaume ili akuoe! =>Kudhani kwamba kutoolewa ni laana, hii ni bangi mbaya ni afadhali ya kiroba! 
=>Kumtongoza mchumba au mke wa rafiki yako! 
=>Kuwahi Kuoa wakati huna kazi /chanzo cha kipato cha kuweza kuendesha maisha yako huku ukitegemea mbeleni yatanyooka kuna wenzio yalijikunya hadi mauti yao! 
=>Kufikiri eti wanaume wa kiafrika wanaweza kufanya mambo ya kwenye tamthiliya za kifilipino wewe ni nyumbu mwenye matege. 
=>Kumsomesha mtu ili uje umuoe wewe ni mjinga kuliko fisi! =>Kumng'ang'ania mtu asiyekupenda, utazimia ukialikwa harusini amka ndugu! 
=>Kuwaeleza mashosti zako 'utam' anaokupa mtu wako! =>Kumwambia bebi wako anunue gari wakati amepanga chumba kimoja kana kwamba mnaishi stoo ya kutunzia mashudu ya alizeti..... FUNZO 1.Usiruhusu kile ambacho hauwezi kufanya kuingiliana na kile unachoweza kufanya. 2.Wakati wako ni mdogo, hivyo usiipoteze muda wako kuishi maisha ya mtu mwingine. 3.Uliopita hauna nguvu juu ya wakati huu anza sasa 4.Kuacha kuwa mfungwa wa mambo yaliyopita bali Kuwa mbunifu wa mambo yajayo
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU