-->

KWANINI ANAYETAKA MAPENZI NDIYE HUFURAHIA KULIKO ANAYETOA MAPENZI? IKO HIVI;

Chuo Cha Mapenzi - Wakubwa Tu 5.0 apk | androidappsapk.co
• Moto๐Ÿ”ฅ wa Mapenzi unawashwa na aliyeanza kuwazia PENZI ๐Ÿ’ฏ lakini pia ni rahisi kwa apokeae MOTO๐Ÿ”ฅ huo kufanya MOTO ๐Ÿ”ฅ UZIDI KUSHIKA KASI...
Mapenzi ni HISIA ๐Ÿ’‘ hivyo kama huna hisia na mwenza wako ni rahisi kutohisi UHITAJI WA PENZI ndo maana siku zote nasisitiza KAMA MTU HANA HISIA NAWE HUYO USIMSUMBUE mwache aende kwa aliye na hisia nae, kubakia nae ni wewe kujaribu kumshawishi apate hisia juu yako kitu ambacho ni hatari kwa HISIA ZAKO ๐Ÿ’ฏ
Hisia inapokuwa imeinuka inahitaji mtu ambaye ukimtamkia neno MAPENZI arudishe shauku ya kuhitaji PENZI na hapo itakuwa rahisi sana KUFURAHIANA...
Wana mahusiano wengi wanalazimisha MAPENZI bila kujua, ni kwa sababu mahusiano mengi yanatawaliwa na DHIKI ๐Ÿ’ฏ
Nature ya PENZI liwe na mapokezano ya NAFSI kwamba mtu unaamua kusikia shauku ya kuwa na mwenza wake kwa mambo yanayohusu UPENDO ๐Ÿ’• hapo hata MBU ๐ŸฆŸ huwa hasogei kuharibu MOOD ๐Ÿ‘™
Ruhusu Mtu mwenye HISIA juu yako atawale PENZI LA MOYO ๐Ÿ’– WAKO na hapo utajua dunia vile haikimbii๐Ÿ˜‚
Ole wako uwe na Mtu ambaye YUPO KWAKO KWA SABABU ZAKE kwamba ili akupe PENZI unawajibika ku-boost HISIA ZAKE KWA KUMTIMIZIA MAHITAJI YAKE wallah Utajutia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU