-->

KUPATA NDOA SI KAZI KAZI KUTUNZA NDOA ๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“–

DADA YANGU ULIYEOLEWA, HII INAWEZA... - STORY ZA KUSISIMUA&MIKASA ...

๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“– Kiukweli ndoa kupata si kazi ila shughuli ni kuitunza ndoa huo ni ukweli ulio wazi

 ๐ŸŒบ๐ŸŒบumewaacha wazaz wako umeenda kwa mumeo unatakiwa ujiulize hivi ni nini nimefata huku kama kwenu ulikua unakula,unavaa na umenawili pia ndo maana amekupenda amekuoa sasa iweje umfanyie haya###### 

๐ŸŒบ๐ŸŒบHASIRA Hivi kwenu babaako alikua hakufokei au mama yako alikua hakufunzi? Eti leo mumeo anakufokea umemkosea mdomo unazid pua tena unamjb nina kwetu wala sikuua hebu jarb kwenda kwenu uone afu majb utanpa ukfka kwenu 

๐ŸŒบ๐ŸŒบDHARAU Mwanaume ni mfalme anahtaj kuenziwa na wala humkomoi mtu ukimdharau unajiharbia ww kwanza mwanaume ni kama mtto mchanga,aklia kdg umewaza cjui anataka nyonyo mmh cjui anataka nn na hata akicharuka kulia ww upo kmya ndo mume anahtaj kufanyiwa hvohvo KINYONGO 

๐ŸŒบ๐ŸŒบkinyongo c tabia nzuri amekuuz msamehe tena usahau ili muendlee namaisha mengne lkn sio unamsameh kinafk amekuuz ww unaweka moyon haipendez na kwa hali hyo hamfiki mbali Basi jitahd kuchukua mazur yake na mabaya yake hesab kama mapungufu yake kwan hata wewe una mapunguf yako tujtahd kuish na waume zetu kwa wema kwan hata penseli ina kifutio ili kufuta makosa so FORGETING AND FORGIVENESS IS VERY IMPORTANT OF UR LYF Team Brayton Offical Love
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright ยฉ 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU