-->

KUMPONGEZA AU KUMSIFIA MTU ANAPOFANYA VIZURI HUMPA NGUVU YA KUFANYA VIZURI ZAIDI LAKINI KUMPINGA AU KUMKOSOA HATA ANAPOFANYA VIZURI HUMJENGEA KIBURI NA KUTOSIKILIZA.


Ukosoaji endelevu huharibu utamu wa jambo. Mti unapoendelea kupigwa na upepo mfululizo, matawi na matunda yake hupukutika.
Vivyo hivyo, mtu anapoendelea kupondwa na kukosolewa hugeuka kuwa na MTAZAMO HASI.
Yasifuni mazuri ya wenzenu na myasamehe makosa na mapungufu yao.
Maneno mazuri ni kama funguo. Hufunga kinywa na kuufungua moyo.
Tujenge utamaduni wa kutiana moyo,kukosoana kwa staha na kupongeza pale panapostali ili tuimarishe mambo yetu na kujenga imani na furaha ya kweli.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU