Usiamini kupitia MANENO yake ⛔ kwa sababu anaweza KURUDI ILI KUHARIBU UPONYAJI ULIOPATIKANAππ
Nature ya walio PENDANA π wakishindwa kuridhiana mpaka kuachana mara nyingi HUISHI KWA KUOMBEANAA MABAYA ili atakayeonekana yupo vizuri amcheke anayepitia magumuπ―
Ifikapo wawili waliopendana wakipata FAMILIA πͺ na Mali kidogo halafu wakaachana KAMWE HAPATAKUWEPO WA KUMHURUMIA MWENZIE ⛔ bali watakuwa na UTENGANO WA KI MAFANIKIO NANI AWE KWENYE UKOMBOZI BAADA YA WAO KUACHANA na hapo ndipo utabaini wazi atakayekuwa ameharibikiwa ndiye atakaye kuwa MWANZILISHI WA KUOMBA KURUDI π
Ujinga ni upi :-
▪ KURUHUSU MTU ALIYEKUUMIZA KURUDI AKILINI π§ MWAKO MWISHO KABISA ANASHUKIA MOYONI π€
Kuuguza KIDONDA ambacho tayari kilipona halafu UKAUMIA PALE PALE kama sio KUKATWA ENEO HILO wallah hilo litabaki kuwa DONDA NDUGU ππ
Single Mother π€°π€± MPOOOOOOπ£️ π’
Chukueni POINT HAPO wanaume hawakawiii KUZALISHA NA KUKIMBIA π♂️ kwa kuogopa MAJUKUMU π
Ole wako UMUDU KUMTUNZA MWANAE ATAKUJA ANAHURUMISHA HUYOOO π―
Kama ukijitahidi sana kujitutumua kwa JAMII ooooh AWEPO KWA AJILI YA MWANAE TU ππππ
Kumbuka MWISHO WA SIKU:-
▪ NILIKUMISS MUME WANGU π
MTOTO/WATOTO PAMOJA NA MALI VISIHUSISHWE NA UPENDO π kwa sababu UPENDO π NI MATENDO YA NAFSIπ―