-->

Wanawake mnatutesa Sana wanaume..😅

My Blog – Page 25 – My WordPress Blog
Wanashinda gym wananyanyua ma chuma..
Eti wanatafuta kifua kisa muwapende..
Tunashinda busy hatari kutafuta Pesa ili angalau mtuheshimu..
Tunatafuta nguo nzuri smart ili msituone tuna shida shida..
Hamjui mfukoni tuna kiasi gani..
Tuna -act wapole ili msichukie mkawa mnatuacha kila kukicha..
Sasa mbaya zaidi ni pale
Mwingine anaamua Tu kukunyamazia unamtumia text hajibu alafu baada ya siku mbili anaanza kulalamika..
Anataka umuombe msamaha wakati ye ndo anajifanya mjanja....!!
#Kila kitu kikichokwa huwa kinajionesha tu sasa kama una akili za kuzaliwa utagundua mapema..
Mpenzi akianza kukuchoka utagundua sasa ukichokwa relax maana kuna watu wamechokwa kila kukicha ni kutukana watu tu..
Rafiki akikuchoka utagundua tu kuna hali ya kupotezeana inakuja tu automatic sasa usilazimishe urafiki kausha fanya mishe zako..
Mwenye nyumba akikuchoka inakuja tu ile imefika tarehe ya kodi umezidisha saa 1 anakwambia nipe nyumba yangu nimepokea kodi kwa mtu mwingine usilalamike mpe nyumba usilazimishe kukaa maana huwezi jua..
Kila kuchokwa kuna sababu..! Sasa bora uchokwe ila km hutakiwi hapa utakutana na sms km hizi uaan jua kabsa wewe hujachokwa ila HUTAKIWI KABSAAAAA😅🤣Anza kusepa #MkakaFulani
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU