-->

WANAUME KUNA VITU LAZIMA MVIELEWE KWA WAKE ZENU.


πŸ”΄Bibilia inasema MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU hapo hapo inasema MKAE NAO KWA AKILI. Na bado inasema MWANAMKE NI JESHI KUBWA
πŸ”΄SWALI
Walijifunza saa ngapi uwanajeshi na ili kudhibitisha kwamba ni mwanajeshi MUNGU anamtuma kwa mwanamme amlinde.
#Yeremia 31:22 .... Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani mwanamke atamlinda mwanamume.
KUMBUKENI HILI WABABA
πŸ”΄Mtu wa kwanza kukutana na SHETANI #live ni mwanamke pamoja na kwamba walizungumza mengi na #kula_tunda kiukweli hamjui mengi waliyozungumza mbali na kula tunda.
πŸ”΄MWANAMKE aliumbwa ukiwa usingizini wewe MWANAUME hujui ni kitu gani walichozungumza na MUNGU kabla ya wewe kuzinduka.
πŸ”΄MWANAMKE ndiye aliyemwelewa MUNGU alipoambiwa ana mimba ya ROHO MTAKATIFU wewe MWANAUME ulitaka kumkimbia badala ya kukabiliana na changamoto hiyo.
πŸ”΄MWANAMKE ndiye mtu wa kwanza kwenda kuhakikisha kama kweli YESU amefufuka na kusambaza habari.
πŸ”΄MWANAMKE ndiye anayeongoza kwa ushawishi mkubwa mwanaume huna ujanja mfano mzuri tazama hu u hapa
β– Eva kwa Adamu
β– Delila kwa Samson
β– Ester kwa Ahasuero
β– Raheli kwa Labani n.k
πŸ”΄Usimuudhi mke wako ana siri kubwa sana usione kakaa na wewe anakuvumilia pamoja na ukatili wako.
πŸ”΄Anaweza akatekeleza like ambacho walichozungumza na MUNGU au anaweza kutekeleza alichozungumza na shetani .
⬛WAPENDENI WAKE ZENU ISHINI NAO KWA AKILI.ASIWEPO MWANAMKE AYAKAYEJUTA KWA KUKUPATA WEWE KUWA MWENZA WAKE.Mwanzo 2:8
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
⬛NANYI KINA MAMA WATIINI WAUME ZENU WAPENDENI WAJALINI,WAHESHI
MUNI WALINDENI WAOMBEENI
KWA MAANA HAKUNA MWANAMUME KATILI KWA MKE MYENYEKEVU.
MUNGU AWALINDE
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU