-->

UNAJUA KWANINI MWANAUME ANAWEZA KUTOKA KIMAPENZI NA WADADA WAZURI ILA MWISHO WA SIKU ANAKUJA KUOA MWANAMKE WA KAWAIDA KABISA? SABABU HII HAPA

Mwanamume anaweza akawa na mahusiano ya kimapenzi na wadada wazuri yaani warembo haswa na una fikiria huyo mwanamke ata kae muoa atakuwa mrembo zaidi, chaku shangaza ana oa wa kawaida sana mpaka marafiki zake wana mshangaa kweli.....!!!!
Ila Ukwel Wa Mambo Uko Hivi
Kuna mademu ni kwa ajili ya show off na kukonga nyoyo tu na kuna wanawake kwa ajili ya kufanya nao maisha. Warembo wengi hujidanganya na uzuri mpaka wanawazeeshwa...!!!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU