-->

Ni rahisi sana kuwa BABA kuliko kuwa MUME

Ni rahisi sana kuwa BABA kuliko kuwa MUME, vilevile ni rahisi sana kuwa MAMA kuliko kuwa MKE, 😂😂vipi nimewachanganya eennhhh!!!
Iko hivi, Mama na BABA wanatokana na kujamiiana, ila Mke na Mume wanatokana na MAPOKEO YA NAFSI kwamba Mtu Mme atampenda Mtu Mke na kwa pamoja watakuwa na sababu ya kuwa wamoja, hapo vipi tumeelewana!!!...🤔🤔
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU