-->

Ndoa ni baraka na kila mtu aliandikiwa mahali, siku na saa ya kukutana na mwenza wake wa maisha.


Sio kwavile umri unaenda, wenzako wanaoa or kuolewa, basi ikakupa presha ya kutafuta mtu yeyote tu wa kuishi nae.
Or ukajisumbua kujing'ang'aniza kwenye mahusiano yasiyo sahihi yenye mateso, usaliti na maumivu, kisa tu huyo ndiye aliyekuahidi kuwa atakuoa.
Wakati sahihi, na mtu sahihi aliyeandaliwa na Mungu kwaajili yako akija. Utaona jinsi maisha yako yatakavyo badilika na kila kitu kwenda kama ulivyokuwa ukitamani iwe.
Hang in there,
If it was meant to be, it will surely be.
Leonard_Young_Mucky
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU