-->

MWANAUME UKIONA MSICHANA UNAYETAKA KUMUOA YUKO HIVI TAMBUA KABISA HUYU SIO MKE BALI NI MWANAMKE NA YUPO HAPO KWA INTEREST ZAKE.

Kijana ukiona msichana unayetaka kumuoa hashirikiani na wewe katika mipango na malengo yako wala hakuulizi una mipango naye gani na yeye na kitu kikubwa unachosikia kwako ni;
- kukuomba hela,
- umtoe akatembee na kula vizuri kwenye migahawa na mahoteli makubwa,
- umnunulie simu nzuri na ya kisasa hata kama aliyo nayo ni nzuri na ya kisasa na haijachoka.
- anafatilia mitindo mipya ya mavazi avae ili aonekane wa mjini.
- asiye na heshima na muda wako, upo kwenye mambo ya maana atataka mchat,muongee kwa muda mrefu na usipofanya hivyo anakununia. N.k
TAMBUA KABISA HUYU SIO MKE BALI NI MWANAMKE NA YUPO HAPO KWA INTEREST ZAKE.
* usioe au kuwa na mwanamke kwasababu upo mpweke,
* usioe mwanamke kwasababu rafiki zako na ndugu zako;
- wameoa,
- wanakwambia au kukusisitiza uoe.
* usioe kwa kuwa umri unaenda.
#Bali
Oa kwa kuwa muda wako wa kuoa umefika,
Oa kwa kuwa sasa unaweza kuimudu ndoa,
Oa kwa kuwa una amani na hiyo ndoa.
" Usichague tunda kwa uzuri wa UA au sifa za hilo ua bali chagua tunda ukijua kwanini umechagua tunda hilo."
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU