-->

MWANAUME ASIYE MAKINI HUWAVUTIA WANAWAKE WASIOITAMBUA THAMANI YA UTU WAO

```Siku zote pesa ya mwanaume asiyemakini huwavutia wanawake wasiotambua thamani ya utu wao na wavivu kifikra. Sio kawaida sana mwanaume kutumia pesa zake na utajiri wake kupata uchi wa mwanamke, na sio vyema wanawake warembo waone kwamba ni mazoea na kawaida kufanyiwa hivyo na wanaume wenye pesa.
Uzuri wako na utu wako kama mwanamke unathamani kubwa sana kuliko pesa. Heshima yako kama mwanamke ni Nyota kuliko Dollar, mwili wako sio kama bidhaa ya nyanya sokoni hivyo usiruhusu kila mpishi kukubonyeza bonyeza ili kujua kama unafaa kutumiwa katika mapishi yake.
Ilinde heshima na thamani ya utu wako kwa mwanaume wako ajae kesho.
```🖐🏻
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU