-->

Mwanamke hivi unajua kuwa MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO.

Mwanamke fahamu jambo hili litakulinda daima;
Mimi sijui kama ni TEMBEA YAKO ama ni vile UNAVUTIAπŸ˜‚πŸ˜‚
Image result for MAISHA YA UPENDO YA MUME & MKE YANAJIONYESHA KWA MAMBO YAFUATAYOInawezekana Mwanaume akakupenda zaidi hata kabla ya kumvulia nguoπŸ‘™
Kuamini hilo ni wewe mwenyewe kujiuliza MWANAUME ALIKUPA AMANI WAKATI UPI KATI YA KABLA HUJAMVULIA NGUO AMA WAKATI UMEMVULIA NGUOπŸ˜‚πŸ˜‚
Japo najua udhaifu wa Mwanaume ndo maana naweza kukiri wazi MWANAMKE HUMPENDA MWANAMKE KABLA YA KULALA NAEπŸ’― na akiisha kuwa amelala nae HUKINAI maana yawezekana hakuna jipya baada ya kupata lililo hitimisho πŸ‘™
Muda Mwingine haya MAPENZI ni kama BAHATI unaweza kuwa huna wazo la kuingia penzini lakini akaja Mtu wa hisia zako ukajikuta UMEZAMAAAAAπŸ‘Œ
Lakini usiyajaribu MAPENZI kwani yakiwa sio yako utapata taabu sana, Maana KIPENDA ROHO KULA NYAMA MBICHI ila nikwambie wazi ni hasara kubwa KUPENDA USIPOPENDWA😭😭
#Elista_kasema_ila_sio_sheria πŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU