-->

KUNA WAKATI TUNAPASHWA KUKUBARI KUDHARAULIWA ILI MATENDO YA MUNGU YAJIDHIHIRISHE KWETU!

udsm stories highlights, photos and videos hashtag on Instagram ...
Mtu anapokudanganya kwamba anakupenda na Wewe ukajitoa, ukashiriki na kumpa muda na mwili wako ATAFAIDI NINI KWA MATESO ANAYOKUPITISHA NAYO? Ni kweli yeye anajua Mimi sio wake ndo maana anaweza kunihadaaπŸ™†πŸΏ‍♂ lakini yuko MUNGU. aliyenifanya niwe kama nilivyo kwa THAMANI kubwa ama ndogo atamfanya mwingine awe wanguπŸ’‘
Bin adam wamegeuka kuwa wanyamaπŸ… wa nafsi lakini wanatajwa kama watuπŸ•ΊπŸ’ƒ
Raha iliyo na UPONYAJI kwa nafsi yangu ni kwamba UWAPO DUNIANI USIJIONE UMEMALIZA MATATIZO YAWEZEKANA LEO UNAFURAHIA ILA KESHO YAKO HUIJUI! Kila gumu linapokuja tarajia kwamba JEMA LIKO MBELE YAKO wala usilie kwa kudhani MUNGU HAONI TESO LAKO ni muda pamoja na subra UTAPOKEA HAJA YA MOYO WAKO πŸ™
Uambie MOYO wako uwe mvumilivu, Ufundishe MOYO wako kungojea, Ukumbushe MOYO wako kwamba sio wewe tu unapitia MAGUMU wapo ambao wanayo magumu kuliko hilo la kwako, Usikubari kukata tamaa HURUMA YA MUNGU IKO MBELE YAKOπŸ•Œ
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU