-->

FIKRA ZAKO ZITA KUJENGA au KUKUBOMOA

Huenda umekuwa ktk mahusiano kwa mda mrefu na umeumizwa mara nyingi..Lakin usiyachukie MAPENZI bali mlaumu uliye mkabidhi moyo wako afu yeye akautenda..... Usikate tamaa maana bado kuna wengi wanao OA na KUOLEWA kila siku ingawa mioyo yao ina historia ya kuumzwa huko nyuma..wewe sio wa kwanza kuachwa wapo walio kutangulia ila saizi mioyo yao ina amani
Omba MUNGU
Akupe mume bora anae jua kubembeleza atakae kufanya ufurah na uso wako kupambwa na tabasamu mda wotee. Kama ni pesa zina tafutwa tu. Kumbuka wapo wenye maduka na magar ila mioyo yao haina aman na nyuso zao zina huzuni
Omba MUNGU
Akupe Mke bora atakae kuwa Mamaa bora ndan ya familia na chachu ya maendeleo.Usidanganywe na Uzuri wa nje maana uzur wa Mwanamke ni matunzo. Hataa wako ukimgharamia atakuwa mzur kuliko unao wataman barabaran.
Anaweza kuwa na pesa sana na Handsome au akawa mrembo sana ila Tabia zako na mwenendo wake vikawa kero kwako na kwa wanao kuzunguka.Usiangalie starehe ya mda mfupi ila angalia kesho itakuwaje na utaishi vipi
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU