-->

EWE MREMBO NAOMBA NISIKILIZE


.
Kama Haukuwa umetenda Chochote kibaya Mf. KUCHEAT, basi
Hauna Sababu Ya Kuendelea Kujilaumu Kwa Kilicho Tokea Kati Yako Na Huyo Mpenzi Wako Mpaka Akakuacha Au mkaachana maana Haukuwa na kosa.
Acha kujilaumu dada yangu kujiona wewe ndo chanzo cha kuachana kwenu.
Kama Mwanaume Wako Alikuwa Anakuona Kama Takataka Sasa kwanini Uendelee Kumtafuta Ukiomba Mrudiane ??
Inuka katika kitanda chako cha maumivu, chukua leso yako Futa machozi yako maana Unastahili Tabasamu. Usilie kwa sababu ya mtu asiye kujali wala kujali maumivu yako.
Yaani mwanaume ambaye kila ukishika simu yake basi unakuta meseji za wanawake wengine ambao ni wapenzi wake alafu bado unang'ang'ana na huyo mwanaume ?? Utaendelea kuumia mpka lini ??
Usimpe Faida Ya Kujiona Mshindi kwamba Hauwezi kuishi Bila Yeye. Dada Yangu Kipenzi, usimpe faida ya kuona kwamba Anakuumiza.
Yaani mwanaume uliyejuana nae Ukubwani Unakubaki Aendelee kukutesa mpaka lini ? Utaumia mpaka lini ??
Najua sio Rahisi Kumsahau mtu ambaye Unampenda sana. Lakini Huoni Kuendelea Kuwa nae kunakufanya Ulie machozi kila leo ??
Embu kumbuka siku za nyuma kabla haujajuana nae, je ulikuwa ukilala au kuamka na huzuni ??
Kama ulikuwa unafuraha kwanini Ulie sasa kwa ajili yake ??
Dada Yangu Unastahili Kilicho Bora. Usikate Tamaa Mwanaume Wako uliyeandaliwa Na Mungu Yuko Anakutafuta, Na siku Utakapo Kutana Naye. Hakika Utasahau Maumivu Yako.
Sijui kama Wewe Dada Unayesoma Ujumbe Huu unakubaliana na Mimi ?
NB: Kama Mwanamke Na Wewe ulikuwa Unatesa Wakaka Wa Watu Na kuwaliza Kila Leo Sikuonei Huruma Hata😂😂
Wewe Unapata Mshahara Wa Kazi Yako Uliyokuwa Unafanya. Maana kabla ya kufa Lazima Ulipe Madeni Yako😂😂
Muosha Huoshwa.
*Mwanaume Ambaye Anandoto Ya Mafanikio Anahitaji Mwanamke Mwenye Uvumilivu Mwingi na Pia Mwanamke Mwenye Kuelewa.
Ewe Mwanamke Jaribu Kumsikiliza Mumeo Au Huyo Mchumba wako na Kumsaidia Pale anapohitaji msaada wako.
Msaada sio lazima Uwe na Pesa, Hata Mchango Wa Mawazo Ni msaada Mkubwa Kwa manaume mtafutaji Na mwenye Nia Ya kufanikiwa.
Mvumilie na Mtie Moyo Pale Ambapo Unaona Anahisi Kukata tamaa. Kuwa Amani Yake, Mfanye aone Anathaminika ijapokuwa Hana kitu mfukoni.
Kama ukiweza Kumvumilia Na kumpenda Akiwa Hana kitu Ama kwa hakika Unastahili Kufurahi nae katika Matunda Ya kazi zake.
NB: Kuna wanaume wanakimbiaga Wanawake zao Mara Baada Ya kufanikiwa Kwenye Maisha. Kuweni na Huruma Kaka zangu, maana Mungu Atatuunguza hatujapata kuona mara ya mwisho.
SIJUI NIMEELEWEKA ??
Enough
💚 @IBRAHIM
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU