-->

DADA KAMA UNATEMBEA NA MUME WA MTU INAKUHUSU...

Riyama Ally - DADA KAMA UNATEMBEA NA MUME WA MTU..... | Facebook
Mwanzo elewa kwako anatafuta se-x..Tu na kupunga stress kwa hivyo utatumika L
Kisha uwekwe Kando.
Kama ameweza kumsaliti mke wake..Asilimia 100%haupo peke yako pia Anawingine wingi anaowadanganya Kama wewe.
Ni kweli utaenda naye sehemu nzuri kutembea.. Lakini mwisho wa siku atarudi kwa mke na watoto wake... na si kwako.
Hata ukipata mimba hawezi kukuoa zaidi sana utaishiwa kufichwa na mwanao watoto anawofahamu hadi mwisho.
Angekuwa hampendi mke wake asingimuoa...Anampenda mwisho wa yote atarudi atarudi tu... Unajisumbua mume wa mtu ni wa mtu.
*Usitolee macho mali..Ni zake na watoto wake*
*Nitakachokushauri usipotezewe muda na mume wa mtu au mwanamume Hana mlengo na wewe Kama anakupenda alete posa akuoe kama mke wake usitumie mwili wako Kama kitega uchumi utajuta badaye mume anayekupenda hukuoa akakuweka nyumbani sio kukuchezea*
NI UKUMBOSHO HUWAFAA WENYE AKILI
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU