-->

πŸ’™AMKA SASA BADO HAUJACHELEWAπŸ’™


Wengi wetu tumejikita kung'ang'ania vile ambavyo vimeshatuacha na tumesahau kabisa mambo mazuri ambayo tunaweza tukayapata kama tutasonga mbele na Maisha.
.
Unaonaje nikikwambia kwamba maisha hukupa yule mtu sahihi anayefanana na wewe?
Unaonaje nikikwambia kwamba maisha yanakufanya uumie leo kwa huyo unaempenda sana, ili baadae utabasamu milele baada ya mtu sahihi kuja katika maisha yako?
.
Kurasa zikifungwa haimaanishi kwamba usomaji wa vitabu umeahirishwa, mwenda tezi na omo, marejeo ngamani.
Unaweza ukawa unaumia hivi sasa, ila taratibu maumivu yatapona na utasahau na moyo wako utakuwa jasiri kuhimili vishindo vya kihisia vyovyote vile.
.
Jipende, jijali, jishughulishe, nyakati njema kabisa zinakuja haraka, ndipo sasa utakaa chini na kutafakari, kwanini nilikuwa mpumbavu kuutaabisha moyo wangu kwa mtu ambaye hakuona umuhimu wangu?
```✋🏻
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU