-->

YAFAHAMU MAMBO 10 YANAYOVUNJA NDOA

Image may contain: 2 people

Wengi wetu tumekuwa tukifanya makosa kwenye ndoa bila kujua ni makosa tena makubwa yanayoweza kuvunja ndoa na mapenz yetu

YANAYOVUNJA NI PAMOJA NA:

1) Kutokukubali hali halisi ya maisha yenu
2) Kutokuwa mbunifu na mtundu kwenye mapenzi
3) Kutokujali hisia za mwenza wako
4) Kuwa mbinafsi/mchoyo wa mawazo na fikra zako
5) Kuwa na migogoro ya muda mrefu na isiyokua na suluhu
6) Kutokuwa mkweli, kuwa muongo
7) Kuwa na wivu wa kuptiliza hadi inakuwa kero
8) Kuwa mbish na kiburi na kubishia hata mambo yasiyo na msingi
9) Kumfuatilia mwenza wako kulikopitiliza
10) Uchafu na kutojijali kwa mwil na mazingira unayoishi
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU