-->

Wanaume wengi hufanikiwa zaidi katika maisha baada ya kuoa kwakua wakati wanaume huwa na akili za kutafuta wanawake wao huwa na akili za kuweka kwaajili ya kesho

Image result for mapenzi wakubwa

Wanaume wengi hufanikiwa zaidi katika maisha baada ya kuoa kwakua wakati wanaume huwa na akili za kutafuta wanawake wao huwa na akili za kuweka kwaajili ya kesho, hivyo ukichanganya nguvu hizi basi huleta mafanikio. Hii ndiyo maana mwanaume ukibahatika kuoa mwanamke anayejielewa basi ndiyo msingi wa mafanikio na ukikosea na kuoa mwanamke kimeo basi ndiyo mwanzo wa kudondoka.
Shida nikuwa wanaume wengi wakishafanikiwa wanajiona kuwa wao ndiyo kila kitu na hapa ndiyo ndugu wanaanza kuona kuwa nao wana mtoto, wanaanza kumpangia maisha na kutaka kumuondoa mwanamke. Hivyo ndugu yangu, kama ulikua kawiada ila baada ya ndoa unaona unafanikiwa basi mheshimu sana huyo mwanamke, siku akiondoka anaweza kuondoka na kila kitu hata kama hutampa kitu. Wengine wana visimati vyao tu wamekuja navyo.
Ndugu waheshimu lakini wasikupangie na wala usiruhusu wamdharau mke wakeo kwakua tu eti hajasoma, hakuja na kitu au Biashara zote zina majina yako. Najua ndugu naoa wanamchango mkubwa katika maisha yako, lakini kuna ubaya gani ukiwasaidia huku ukimheshimu mke wako na kumjali kila mmoja. Ni lazima kuwe na mipaka kati ya ndugu na mke kwanu ndugu hawawezi kuwa mke na mke hawezi kuwa ndugu kila mmoja ashinde mechi zake!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU