Usiwe sababu ya mtu anayekupenda kuyachukia mapenzi kwa jinsi unavyomtesa na kumwona hafai bali mlipe wema kwa wema wake na zaidi.
Lakini pia nasi tusikubali kuyachukia mapenzi kisa tu kuna mpumbavu mmoja ameshindwa kutambua thamani ya mapenzi tunayompa.Njia rahisi ni KUMWACHA AENDE. Let him or her go for your own good.Usikubali kukosa usingizi wala kujidhuru kwa sababu ya mpumbavu mmoja FUTA DELETE KABISA katika historia ya moyo wako.
Yaani mwache aende na hata akirudi mwambie ulishindwa kutambua thamani yangu ukaniumiza ulivyoweza, nikakuacha ufanye utakayo na zawadi pekee niliyokupa na kukusamehe bure kabisa lakini SIWEZI KURUDIA NILICHOTAPIKA.Nimempata wa kumpa upendo wangu wewe nimekusahau nakumbuka lako jina tu.
PUMBAAAAAAAAAAVU.
PUMBAAAAAAAAAAVU.