-->

Tatizo sio kuumizwa! Tatizo ni JE MAUMIVU YAKO UNAYACHUKILIA KWA MTAZAMO UPI?

Image may contain: one or more people and close-up
Siku moja utasahau kama uliwahi kuumia na hiyo ndo nature ya Moyo, Moyo unatabia ya kushikilia MAUMIVU kwa sababu wenyewe ndo wenye kujua umuhimu wa PENDO... Wakati ukifika huwezi kukumbuka ni nani hasa alikuliza ama nani alisababisha ukaumia, Wengi hufikiri siri ya kuwa huru moyoni ni kulipa kisasi kwa aliyekuumiza, Lakini huwezi kuishindanisha akili na Moyo maana ni sekta mbili ambazo zinapokezana mambo ila haziwezi kutengeneza jambo moja, Dawa ni kuachilia matatizo ama maumivu yajikunjuluwe menyewe kwa muda na siku yake, Baada ya yote kinachojalisha sio kama wewe ndo wa kwanza kutesekea UPENDO wapo ambao wakikusimulia mateso yao utalia kwa kuwahurumia, lililo la heri ni wewe kuufunga ukurasa wa mahangaiko ili kuianza safari mpya ijayo mbele yako, Na zaidi fikiria jinsi utakavyoshinda mashindano ya MOYO NA AKILI YAKO kwa kumtazama aliyekuumiza huku unampenda na kuwaza ajaye atakuwa na lipi jipya, Kwa hiyo naomba nikwambie CHEKA BASIIII, TABASAMU, SAMEHE ili uweze kuamini na kumpenda mwingine tena!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU