-->

NGOJA NIONGEE HILI KWA WANAUME NA WANAWAKE

Kama unaona ni sawa kumtoa mwenzako machozi kila siku basi jua sio sawa na moyoni mwake tayari kuna vidonda vinavyoelekea kupona kisha yabakie makovu. Hatujaumbiwa usaliti ila tunafanya kwa tamaa zetu za kibinadamu.
Inawezekana hata wewe unayesoma hapa umeumizwa na kusalitiwa vya kutosha na bado hujui nini cha kufanya na upo tuu na huyo ambae ni sababu ya maumivu yako. Kuna wakati hata kama ni ngumu kutoka hapo labda kwa sababu mpo kwenye ndoa basi ni vyema kupata tiba ya kuweka akili na hisia zako sawa ili furaha iweze kurudi.
Wote tunahitaji furaha katika mahusiano! Hatuhitaji kila siku kujutia mahusiano tuliyopo bali yabidi mwanga na mwelekeo uonekane. Unadhani umekwama sehemu na unahitaji usaidizi? Karibu tuzungumze TUJIFUNZE na KUJADILIANA katika group letu la whatsApp "ITUNZE NDOA YAKO", upate USHAURI na MWONGOZO wa KISAIKOLOJIA na hakika furaha yako maishani itarejea.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU