-->

MWANAUME KUJENGA PENZI KWA MWANAMKE HAITOSHI KUWA NA HISIA NAE PEKE YAKE⛔ BALI NI .....!!

MWANAUME KUJENGA PENZI KWA MWANAMKE HAITOSHI KUWA NA HISIA NAE PEKE YAKE
BALI NI PAMOJA NA KUITENGENEZA DHAMANA YA UPENDO KWA KUTIMIZA MAHITAJI YAKE YOTE ðŸ’¯
Mwanaume hutakomea kuonyesha HISIA zako kwa Mwanamke ili aamini katika UPENDO kwani kummiliki Mwanamke ni kwa MOYO wala sio ki mwili 
Mwanamke anawazia TENDO LA NDOA kwa muda mchache mno kuliko kuwazia kesho yake, ndo maana Wanawake wanaongoza kuwa WAMILIKI WA MAISHA kuliko wanaume, Kwa hakika 75% ya wanaume bila wanawake wasingeweza kuwa na MAISHA japo kuna watu hawatanielewa ila naamini wengi watanielewa kwamba;
• ILI MWANAUME AMILIKI MAISHA BORA ANAWAJIBIKA KUWA NA MWANAMKE ðŸ’¯
Ni Wanaume wachache sana wenye MAISHA BORA BILA MWANAMKE😂😂😂
Kwa sababu ili Mwanaume ajue kutafuta pesa lazima awe RIJALI kama haisimami huwezi kusumbuka kwani hazina kazi kwako, Kwa maana hiyo wewe ni nani hata ubishane na MUNGU kusema kila Mwanaume atakula kwa jasho?
Mwanamke kutafuta pesa ni uvivu wa wanaume ila kuna ufahari mkubwa MWANAMKE KUPATA MAHITAJI YAKE KUTOKA KWA MUMEWE TENA AKIWA KIVULINI💃
Hivyo Mwanaume hata upendeze vipi, ujue kuchezea kiuno ila usisahau kutafuta na PESA hapo heshima yako itakamilika, Vinginevyo wewe ni kama BATA KILA UONAPO TOPE UNAOGELEA ðŸ˜‚😂😂
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria ðŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU