-->

Muepuke MUONGO atakuumiza na kukuachia jeraha isoponyeka🙏

Image may contain: 2 people, people sitting, shoes, outdoor and nature
Uonapo uongo ni mwingi kuliko UKWELI ujue hako ni KEKUNDU UMELIWA MAMA💇
Mapenzi ni UWAJIBIKAJI PAMOJA NA USHIRIKI kwa mambo yahusuyo UPENDO nje ya hapo ni STAREHE!
Huwezi kujitoa kwenye starehe huo ni utumwa wa fikra, Maana starehe ni MATOKEO YA FURAHA sasa kama uko kwenye MAHUSIANO ambayo huyafurahii pengine umenaswa na TABIA YA MAZOEA kumbe una furaha ipi?
Kataa kuwa mtumwa wa MWILI bali uwe kwenye mlengo wa KUJENGA NGOME YA AMANI NDANI YA NAFSI YAKO kwa sababu FAHARI YA MWILI NI JASHO JEMBAMBAAA🙈 my friend tune clear your mind LOVE IS DESEASE😎
Mapenzi ndo yanawafanya wana wa adam kujua kuvaa na kujipamba, Ukitaka kujua kwamba MAPENZI ni mabaya ukose AMANI kwenye MAHUSIANO husika wallah MAFUTA🍶 hutayanunua, wala hutajua kama nguo💃 umeirudia siku ya pili😅😅😅😅 MPAUKO UNAKUHUSU JILANI😎
Ni bora kuishi na wanyama🐆🐒 itachukuwa muda kuwaamini lakini sio BIN ADAM Kwani MANENO matamu yanaweza kuipoteza NDOTO YAKO😭😭😭
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU