Udi hutumika kufukiza chumba cha kulala na mumeo,mashuka,nguo za kuvaa pia hata kanzu ya mumeo pia kujifukiza mwilini hasa huko chini mwari
πΉMATUMIZI YA UDI HUKO KWA BIMKUBWAπΉ
β©Wanaume hupenda joto huko chini kwa bibi, shoga yangu sasa ukiwa unataka kunukia vizuri na kupasha huko chini nunua udiπ
πSijui kwenu nyie lakini mimi ndani kwangu sikosi udi, na huwezi kuwa na udi bila kichotezo.
πSiutumii tu katika kujifukiza nguoπ zangu bali na mwili pia,π

πΈJINSI YA KUFANYAπΈ
πUtachukuwa kichotezo chako siku hizi vipo vya kila aina mpaka vya umeme, weka udi wako juu pale kama unatumia cha umeme kipachike kwenye socket udi ujichome,
πUkifikia unapofuka moshi ukiwa kama ulivyozaliwa, na peke yako hata mumeo asikuone kwenye hili chuchumaa weka kile kichotezi chini kikilingana na anapoingia mumeo/kwa bibiπ
πUruhusu moshi wa udi uingie ndani huku ukiwa umejitanda kanga ndio unaingia vizuri kaa hivyo kama kwa dakika kumi halafu toa, endelea kuacha udi uendelee kunukia ndani.π
πHii ni nzuri ikifanyika wakati unajiandaa kufanya tendo la ndoa na mumeo sio aje masaa mawili baadaye ule ujoto utakuwa umeishaπ
πAkiwa labda sebleni anasubiri kuingia chumbani wewe fanya vile akifika hata baada ya dakika kumi bado lile joto litakuwepo, kwahiyo kama mumeo anapenda jotojoto fanya hivyo uilee ndoa yako unadhani kutunza mume kazi ndogo..shauriloπ

ππTAHADHARI: kama mumeo ana allergy akisikia harufu kali anaumwa please usijifanye tena wewe ndio umefundwa ukamtoa mtoto wa watu roho, maana kuna wanaume wengine yani yeye mafua hayamuishi kamwe akisikia tu harufu basi atapenga na chafya hata mara kumi, hapo tena kutakuwa hamna raha bali karaha. umenisoma eehh. *_Udi huo_*
*