-->

MAPENZI NI KAMA UBAO WA KUFUNDISHIA DARASANI, UNAJUA KWANINI?? SOMA HAPA.

Image may contain: one or more people, people standing, sky, mountain, ocean, outdoor and nature

Mapenzi ni kama ubao📝 wa kufundishia shuleni, Mapenzi kila yalipochunguzwa uhalisia ulifutika na kujikuta wabobezi wakibaki na maswali mengi, Kuna aliyependwa kwa dhati nae alisema madhaifu ya aliyempenda, Kuna ambaye alisema tangu anaingia kwenye MAHUSIANO hakuwahi kuhisi UPENDO Lakini alishikamana, Kuna ambao wao hawakuwa na uhitaji wa UPENDO nao walisema hawajui Kwanini waliingia kwenye MAPENZI Kwani hayakuleta maana kwao.
Jibu linabaki kutajwa kwamba;
MAPENZI NI SIRI😎
Ndo maana PENZI LA SIRI NI TAMU kwa sababu siri ya utamu wa penzi ni siri zake ikiwa pamoja na KUTAMANIANA😅
Jiulize Kwanini HOUSE GIRL HUDHOOFISHA NDOA YA MAMA MWENYE NYUMBA?
Wababa msijidai sana hata House boy akimuotea mkeo wallah utakula makombo💃
Mtu yeyote makini anapozungumzia UHUSIANO WA MAPENZI anawajibika kumlinda na kumtunza mpenzi wake, Haimaanishi mavazi👘👖👕👠 chakula🍗🍞🍟 mahala pazuri pa kulala🏡 watoto👫 na kuwa wenye Mali ila nazungumzia KUUFANYA MOYO WA MWENZA WAKO KUWA NA UTULIVU
Ukiishakuwa kwenye MAHUSIANO YA MAPENZI na ukaonyesha DHARAU kwa mwenza wako, ikitokea Mtu akaonyesha nidhamu kwake MY FRIEND UMEISHA
Kwenye maisha ya MAPENZI lililo na THAMANI ni UNYENYEKEVU jiulize kama huna unyenyekevu unaujenga vipi UPENDO?
Kinyume cha unyenyekevu ni dharau na dharau haijawahi jenga UPENDO zaidi na zaidi NI KUUMIZA.
Usione WALIOPENDANA ukataka na mwenza wako akupende wakati wewe humpendi, Unapokuwa kwenye uhitaji wa KUPENDWA fomula ni ndogo mno;
"KUMPENDA KWANZA"
Waliopendana ni ngumu kujua walianzia wapi, Lakini Kuna wanao-fake upendo ili kuiridhisha jamii wakati mioyo yao INAFUKUTA KWA MATESO hao nao nawaita JOTO NYAKATI ZA BARIDI😅😅
Upendo ni mwanga kwenye GIZA ndo maana usipopendwa huwezi kufurahia MAPENZI
Mwambie NAKUPENDA ambaye ANAKUPENDA kinyume chake ASOKUPENDA ACHANA NAE.
#Elista_Kasema_ila_Sio_sheria👀
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU