-->

MAAJABU AMBAYO WANAUME WENGI WA SIKU HIZI WANAYO

maajabu ni kuwa wanaume wengi wao wamejihidhinishia kucheat yaani yeye kucheat anaona kawaida mkewe akimlilia kwa tabia hiyo anajibu shit tu..!!sasa asikie mkewe kacheat anatetemeka mpk midomo..miguu inaisha nguvu .anahisi mwisho wa dunia umefika. Anahisi bora kufa...anavuta taswira ya vitu vingi..anahisi amedharauliwa...anakonda kwa saa moja!!jicho linageuka jekundu kama kakesha week sita...anakuwa mdogo kama kakutana na simba mbugani../brother ukijifanya unahasira ukampiga ni sawa na kumfanya aendele kucheat/ongea naye kwa upole tu bro//!!kabla mahusiano yake na mchepuko hayajageuka isidingo....#kibonde
Counsellor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU