Mwanaume ni mtu mmoja Mzuri Sana Endapo utaishi nae vyema,pia ni mtu hatari sana kama Utacheza na Akili yake... Ukiwa Kama Mwanamke ni wajibu wako kumuheshimu,kumjari na Kumbembeleza kwa Kila hali kamwe hutokaa uchukie Mahusiano yenu.
Mwanamke mwenzangu Maisha yamebadilika wale wanaume wakuwagombeza Kila wakati hawapo,Ni lazima Tujitambue na Tujitathmini... Wanaume si wabaya Kama tuzaniavyo Bali Ubaya wa Wanaume tunasababisha wenyewe... Kaa chini jitafakari na Mpe Mahaba Mwenzio Hata Maandiko yanasema vivyohivyo.
Pia Tukumbuke wanaume ndiyo wanatuwezesha sisi , tusiwadharau Hawa ni Viumbe Wazuri mno.. Ni wakati wa Kufanya Mabadiriko,Tujielewe!
Share zaidi mpaka Ifike kwa Wanawake wote
From : Suzy Mike (Malkia Mwenye Busara zake)