-->

JE NI KWELI UNAMPENDA? NGOJA NIKUPE MBINU BORA ZAIDI ZA MAPENZI

Image may contain: 3 people, people smiling, beard
Basi rafiki yangu naomba nikupe kitu kitakachoboresha UPENDO wako huko upendako...
Kwanza nikupongeze kwa KUMPENDA Swala la JE NA YEYE ANAKUPENDA ni Swala ambalo hupashwi kulibeba kichwani mwako, Anza wewe kumpenda na wala usijifiche juu ya pendo lako kwake, Mwambie kwa sauti na kauli thabiti pamoja na MATENDO YA WAZI! Upendo ni ALAMA YA MATENDO YA MOYO na ukimpenda mtu hupashwi kuficha, Iko shida imeliza wengi KUMPENDA MTU NA HUMUONYESHI🙆🏿‍♂
Kwanini naiita ni shida kutoonyesha UPENDO UMPENDAO MTU?
Kwanza hataona ishara wala matendo ya upendo wako, Pili ataji-tune kungojea upendo wako auone na Kadiri siku ziendavyo ndivyo ambavyo ANAAMINI humpendi mwisho wake ni nini? Laa akuchukulie kwa jinsi unavyotaka muwe kwenye penzi hilo ama akuondoke kwa kuona huna upendo, Sex ni kitu ambacho mtu anaweza kukinunua kwa yeyote iwe kwa cash ama mali kauli🤣🤣
Lakini kinachomuumiza Mtu ni pale ANAPOHITAJI UPENDO NA HAWEZI KUUPATA KWA WAKATI SAHIHI... Kwa sababu Ki bin adam tunamahitaji kwa wakati na majira ambayo tunakuwa kwenye UHITAJI WA PAPO KWA HAPO! Lakini unapokuwa umedhani umepata na kumbe umepatikana MOYO HUUGUA SANA😭
Ni ngumu sana kumfanya Mtu ajue kwamba UNAMPENDA ikiwa yeye Mwenyewe hataki kuonyesha PENDO lake kwako😂
Ukiona Mtu anataka awe nawe kwenye MAPENZI lakini hawezi kukupa UPENDO WAKE ni hasara kubwa maishani mwako, Bora hata ukose MALI but ukipata UPENDO maisha yako yatakuwa yenye furaha sana💃💃
HAPPY INTERNATIONAL DAY OF FAMILIES👨‍👨‍👧‍👧
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU