Ku cheat sio bahat mbaya ni options...mtu anapochepuka ni maamuzi ya makusudi kabisaa...kuchepuka ni proceess....wwnaanza kutongozana, wanavutiana, wanakubaliana, , mmoja anainua mguu wake anaenda chumba kile kile alichoambiww kwa kupenda yeye mwenyewe//anaonesha ushirikiano wa kutosha..akimaliza anajiandaa vzr ili mumewe au mkewe asijue/afu ukikamatwa unasema bahat mbaya//hakuna bahati mbaya kwenye kucheat...hata bible imeandika na inaruhsu mtu kumuacha mke au mumewe kwa zambi ya uzinzi...ko ndugu yangu ukifumaniwa pambana tu na hali yako wala usimtafute kibonde akushauri its options!!sisi tutadeal na aliyekufumainia tumpe mbinu asiumie!!na jinsi anavyoweza kuyaishi maamuzi yake!!!wewe pambana tu na huyo shetani unayesema alikupitia ....sasa sijui alikupitia muende wapi!!!
Counsellor