-->

HIVI NU KQWELI KWAMBA WANAWAKE WALIOKULIA MAZINGIRA DUNI HUWA MALIMBUKENI WAKITOKA NJE YA MAZINGIRA WALIYOKULIA.


Image may contain: 1 person


Unaambiwa
Wasichana waliokulia katika familia duni yani masikini mno huwa wanatabia za kuwa malimbukeni wanapopata nafasi ya kutoka nje ya mazingira waliokulia.

Hii inachangiwa zaidi na ushamba wa pesa na mali kama magari,simu kali, shopping,outings na kujikuta wakijiuza hata miili yao ili kuhakikisha wanapata hivyo vitu
Na
Ndio miongoni mwa wale wasichana wasio na msimamo na kubabaika mno wanaotumia mapenzi kama mtaji wa kuishi vizuri mjini kwa kupenda slope za kuhudumiwa na wanaume eti ndio watoe penzi.

Tofauti
Na wale wenye uwezo yani waliokulia katika maisha yani chakula draft mboga nane,
Gari parkings ipo/zipo
Ndani ma dstv,
a/c ,
Shopping na outings za family kila weekend katika hotels kali.
Hivyo wao maisha kwao kawaida mno na hawababaishwi na wajinga jinga wa mjini. Wakipenda ni for real sio kimaslahi na wana misimamo sana..

Sasa Mwanaume Kama Unataka Mwanao Wa Kike Asibabaishwe na ulimbukeni akiwa mkubwa tafuta hela then usimbanie mpe anachostahili mpe na nyongeza ili visharabaro vikitaka kumhonga anakuwa hababaiki na chips mayai sabb ashazoe bugger za familia so atapenda for really labda awe na mapepo ya ngono tu #MkakaFulani

Image may contain: 1 person
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU