-->

HII NI KWENU WANAUME


Image may contain: 1 person, standing
KWA WANAUME,
Kuwa Mwanaume Mwema Kwa Msichana Wako,
Kwasabab Kuna Wanaume Wanangoja Ufeli Kwa Msichana Wako,
Mgombane Saana Ili Akuache,
Muwe Na Marumbano Ya Kufanya Asikusamehe Tena,
Wanangoja Ufanye Makosa YatakayoMuumiza Moyo Wake ili Akuache,
Kuna Wanaume Uko Wanatumaini Nyie Wawil Hamtadumu, Wanaosbir Mgombane Ili Wakimbilie Kumfariji Mpenzi Wako Pindi Mnapokuwa Na Matatzo Huku Wakimuondoa Kwko Taratibu.
Wanaotaman Kuwepo Nae Pindi Utakapomfanya ajione hana thamani,
Wanaoombea Ajifeel Bored With You Ili Waweze Kumuonyesha Jinsi Wao Walivyo Bora Zaidi Yako.
Kama
Hutakuwa Mwanaume Mzur (GoodMan) Kwa Msichana Wako,
Rafiki Angu Amin Nakwambia Kuna Wanaune Uko Awajah Choka Kungoja Nafasi Ya Kumfanya Awe Na Furaha.
Usiwe Comfortable Saana Ukidhani Huwezi Kumpoteza, Usijipe Sifa Et Hatachoka Kugombana Nawe,
Na Usichoke Kuonyesha Juhud Zako Kwamba Bado Unampenda
Sabab Kuna Wanaume Ambao Hawaachi Kumuonyesha Ni Jinsi Gani Anastahili Kupendwa.
Kama Hutaweza Kumuonyesha Upendo Amin Kuna Wanaume Watamwonyesha Maana Ya Upendo Na Utampoteza Siku Moja.
Wasichana Wanapenda Kuonyeshwa Upendo Na Wao Wanaenda Mahali Penye Upendo Unaoonekana Kama Unampenda Muonyeshe Upendo Mujari Mpe Anachohitaji Kadri Ya Uwezo Wako, Maana Wasichana Huwa Hawaombi Kitu Ambacho Huwezi Labda Kama Anakuchuna,
Kama Hujui Mwanamke Anaweza Jua Kabsa Hili Ni Kwel Huwezi Na Hili Unaweza Ila Umembania Tu, Mpende Na Muonyeshe Upendo Kadri Ya Uwezo Wako Hakika Atakuwa Wako Milele.
#MkakaFulani
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU