..... Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza...?
....... Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao.
π *Vichekesho Kweli* : mnatarajia kuvuna wakati hamjapanda ?
Mnatarajia vielee nakati hamjaviunda...?
Mnatarajia vielee nakati hamjaviunda...?
πππ π Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani) atapendeza ...?
πWewe ukisha nunua roba la mchele, mafuta, unga, na mkaa unahisi ndio Ushamaliza , Halafu eti unamlaumu mke hapendezi...
π Kubwa zaidi unarudi kwako bila ya taarifa , Sasa ajipambe saa ngapi ?
πHembu mume jijengee mazowea Kabla hujatoka kazini mpigie Simu mwenza wako Mwambie *mke wangu kipenzi, my sweety, my love, mama watoto wangu* saivi ndio natoka kazini baada ya mda Fulani ivi nitakuwa nishafika nyumbani...
π Uone ukirudi kama hujamkuta mke kesha oga , kajipamba , ananukia na anapendeza kwa ajili yako..
*Ugonjwa wakujitakia hau ambiwi pole*
π€Wanaume tubailike, andaa mazingira ya mke kuopendeza alafu kama ajajipamba na vitu vipo ndio uanze mlaumu...π€
Na: Abuu sulayfa auzayyi.
*The Team:*
*MKE MTAMU*
*MKE MTAMU*
